Saturday, 20 February 2021

KUJIKINGA NA COVID-19 NI UZALENDO PIA.

Tanzanians should wake up and protect themselves from COVID-19.Reality unajua watu hawaruhisiwi kuongelea vitu ambavyo vipo na watu wanaelewa kuwa vipo ila wanaogopa kwasababu wanaogopa kujiingiza katika matatizo ila ukweli ni kwamba inaleta hofu tu huku mitaani. Kuambia watu kuhusu uzalendo hata kujikinga na corona ni uzalendo pia.

www.voanews.com

Mnataka kuaminisha watu kuwa Tanzania iko free from Corona virus lakini ukweli mnauweka chini ya kapeti na watu wanakufa sana kipindi perhaps zaidi ya kipindi abacho watu walikuwa cautious na wanajikinga wasipatwe na janga hili, am not saying that people were not dying before this ila rate ya watu kufariki imeongezeka, this time around unasikiliza taarifa ya habari utadhani unasikiliza matangazo ya vifo, hata kama viombo vya habari vya Tanzania havisemi what's happening ila kuna BBC Swahili wanasema fact kama zilivyo and am glad about that at least inafanya watu wafumbuke kutoka kwenye imani ya kuwa Tanzani is free from Corona Virus.

People may praise him but i don't, i see things from my own perspective na sio jinsi watu wanasema, watu wazito wamefariki and hakuwepo hata pale yeye kaagiza watu waende on his behalf, guess what somehow he is protecting himself from the same Thing he doesn't want people to talk about.

Siku zote mficha ugonjwa mauti humuumbua, kwanini wasiliweke Taifa wazi kuhusu kinachoendelea, kila kitu kiwe nyeupe na nyeusi sio kuweka grey au pink.

Viongozi wangetakiwa waingie mitaani wasikilize watu wanavyose na wanavyohisi kuhusi janga hili na vifo vinavyotokea mara kwa mara, watu wako na wasiwasi mkubwa sana some people are even thinking kuwa the once that are gone are the lucky ones, wanaona at least waliotangulia wamepata watu waliowazika je wanaobaki watazikwa na nani? Hayo ni maoni ya watu ambao wapo terrified mtaani.

If the president of United Republic of Tanzania is waiting for Tanzanian population to be wiped out by ahalf before he took some preventative measures, well he is absolutely doing a great job.

Ukirejea kwenye post moja inayosema Tanzania wanacheza mchezo wa kuku na Corona virus nani ata pepesa macho wa kwanza, naamini Tanzania imeshapepesa macho zaidi ya mara 1000 tayari, sasa chaguo ni la watanzania kuamua kuamka na kujikinga au kuendelea kupotezea wakati Raisi amejificha kama Panya pangoni wakati ameona Paka.