Friday, 11 March 2022

JE BARABARA YA DODOMA ILIYO KARABATIWA IMEKARABATIWA KWA KIWANGO NA USAWA SAHIHI?

Hakuna kitu kizuri kama wananchi kuona maendeleo katika nchi yao na hapa naongelea maendeleo ambayo yanaleta mabadiliko chanya katika nchi


Barabara ni miundo mbinu moja ambayo ni muhimu sana haswa katika kila shughuli lazima inategemea barabara naongelea shughuli za usafirishaji na uchukuzi


Ila nikwamba hatuma teknologia ya kutosha kutengeneza barabara zenye viwango kiasi kwamba barabara zinazo tengenezwa katika kiwango cha lami ikitumika mwaka au miezi sita inapata matobo matobo?


#Dodoma ndio White house ya Tanzania, barabara yake yenye kiwango cha lami lol inamakorongo kama barabara ya mtaani kwetu ya vumbi


Haya bas wamepewa hela izibwe katika kiwango cha lami lakini ni sawa na kutengeneza jukwaa dogo katika barabara yaan viraka vilivyowekwa havina usawa na lami iliyokuwepo kwaiyo mnategemea nini kama sio kuuwa magari ya watu??


Ukiongelea kuzingua ndo huku maana pesa ambazo zimekupwa zinakuja kukatwa kama tozo na watanzania watazilipa kwa jasho zao lakini je matumizi ya pesa hizo yanafanyika kama ipaswavyo??