Wednesday, 8 July 2020

UZEMBE wa MADAKTARI NA MANESI

uzembe wa madaktari na manesi katika kazi zao
Siku zote tunaamini madaktari sana, sasa uzembe mdogo wanaofanya madaktari na manesi unaweza ukapoteza maisha ya watu.Sisemi Vibaya ni bora Kuchukua tahadhari kuliko kuliko kujutia baadae.

Kuna mtu alikuwa anaumwa, kupelekwa hospital bila hata kujua historia ya mgonjwa vizuri wakamweka karantini,mtu anaumwa yupo serious kabisa lakini they overlooked kila kitu na kuhisi ni Corona, mgonjwa anahistoria ya kuumwa kifua, kama miaka mitatu sasa huwa anasumbuliwa na pneumonia, anatatizo la kutanuka, hakuwa na mafuwa wala kikohozi, joto la kawaida, alafu unampatia dawa za kutibu dalili za corona to be exact walikuwa wanampatia Azithromycin 250mg 2*2 kwa siku, mpaka akaanza kuzitapika yaan akimeza tu dawa anazirudisha that's how her body was protecting itself, overlooking details when it comes to health issues can be lethal.

Kuumua mtu mwenye pumu hauhitaji kumchoma sindano ya sumu, mtu akibanwa na kifua hawezi kupumua vizuri, unahis kama vile pumzi inataka kukata kabisa, ndio dawa ni muhimu maana inasaidia ila huwe safi ni muhimu sana maana ukikosa hewa safi mtiti ni ule ule, kumweka mtoto mdogo ambae amebanwa na kifua kwenye chumba ambacho kinanuka chlorine unategemea nini? Kinachoshangaza zaidi ni kuwa mtoto mdogo possibly <2 year suspected kuwa na corona wakati wazazi wake hawana, mtu mwenye pumu anaweza kuwa treated na dawa tofauti tofauti depends with how chronic ur illness is, no perfume,sprays,dust,stong scented oil and no cold, literally ur living a life of avoiding any strong smells and dust as much as you can so definitely no chlorine smell, i don't know who should be blamed for the death of that kid.

Mgonjwa ameletwa hospital yupo serious amelala kwa kitanda alafu hapati msaada wa haraka anaachwa OPD mpaka inafika wakati nduguzo wana mwinua mkono na kuuachia kuona kama bado yupo mzima, kwa hali kama hiyo alafu mbele za wagonjwa wengine kila mtu anapanic kivyake kila mtu anaona sasa ukisikia kifo kimekaribia ndio leo alafu bado we have to trust doctors and nurses.

Some doctors are always drunk na ndio amekuja kazini what can you say and ur sick you got no option just praying to God hoping he is not drunk enough to prescribe anything that comes to his mind.

Sometimes we have to question everything kujua kipi ni sahihi na kipi sio sahihi, don't trust blindly its lethal.


No comments:

Post a Comment