Friday, 10 April 2020

IDADI YA VIFO KWA COVID-19 VYAFIKIA VITATU.

Idadi ya watu waliokufa kwa corona yafikia watu watatu Tanzania bara huku idadi ya waathirika ni 17 kwa Tanganyika na 7 Zanzibar which makes a total of 24 na waliokuwa caratin walikuwa 97 ila idadi ya watanzania waliopimwa jumla yao ni 1.8m ambao ni wale watu waliokuwa katika mahusiano na wagonjwa lakini ukwel kabisa idadi ya watanzania waliopimwa ni 0 na maambukizi mapya ni 0 sababu hakuna waliopimwa.

No comments:

Post a Comment