Korea ya kusini yatangaza kupima baadhi ya wahanga wa COVID-19 na kugundua kuwa bado wapo na maambukizi wakati hapo awali walikuwa wamepona kabisa.
Watanzania tunatakiwa tuchukulie hili jambo kwa umakini kabisa kama ni uchumi kuyumba utakuja yumba tu maana sehemu kubwa ya uchumi wetu tunategemea kuingiza vitu kutoka nchi zalizo endelea,watalii na hata bandari zetu kuingiza mizigo sasa kama nchi zingine zitaamua zote kufanya total lockdown sisi tusipo funga mipaka tutakuwa bado katika hali ngumu sana kiuchumi ukiongezea na umasikini wetu na madeni kama yote #NCHIISHAUZWAHII
No comments:
Post a Comment